Kiukweli hiki ndiyo kimefanya Ney wa Mitego na Harmonize waonekane wameuharibu wimbo wa Kontawa "Champion"

Kwa mtazamo wangu nmeona ney ameioboresha zaid ngom iyo
 
aysee.
Nilijua ni mawazo yangu tu,Ney amezingua kabisa humu,nausikiliza hapa toka asubuhi.
Ni bora hata asingepewa collabo kabisa.
kwanza kikifika kipande cha Ney huwa narudisha nyuma nauanza upya.



"ili sabuni zisiishe si tulinyoa madongo"
Upo km mm
 
Huyo dogo simwelewi, anyway nyimbo Ni ya kawaida Sana labda kwenu masikini mmepata kifarajio
 
Yaani nyie mlitaka ney afanye sawa na kontawa....raha ya rap kila mtu yuko tofauti. Ney hajaharibu hata kidogo Sema nyie mlitaka Ile Aina ya mashairi ya kontawa iendelee kwa ney... Ney Hana Aina hiyo ya mashairi
Kama Angemshirikisha SOLO THANG hapo wnageenda sawa maana na yeye ni mtu WA VINA UTATA.
Ni kama prof Jay yeye ni STORY TELLER..... angemuweka kwenye verse yake labda ya nikusaidiaje Mfano dogo janja. Mngesema kaharibu sababu sio Aina yake ya rap.
Ney hajaharibu kaimba vile anafanya kila siku na mashahiri yake sio mabaya hayajaenda mbali sana Na story ya wimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…