MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kilio ni kikubwa mno kutoka kwa wateja wao. Hizi cargo za weusi wenzetu wasio na asili ya mabara mengine zina majanga mno kwenye utendaji wao.
Watu wanalalamika kutopokea mizigo yao kwa wakati. Mizigo ya China inasubiriwa hata kwa zaidi ya miezi mitano.
Nashindwa kuelewa tatizo ni wao, TPA au TRA? Kuna kampuni kubwa naifahamu ilikuwa imeshaanza kuchuana na Simba wa bahari ila nimeshtuka kuona ina kesi nyingi mno na wateja wao kuhusu mizigo kutofika.
Kiukweli tusipojirekebisha watanzania wenzetu wenye asili ya Asia watazidi kusonga mbele na kutuacha mbali.