Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
kiukweli kabsaaa binafsi yangu kati ya Rose Muhando na Bahati Bukuku
Mi namkubali sana Boni Mwaitege, kwa sababu Christina Shusho ana sauti nzuri sana na ndiomaana hata
Messi wakati anafunga lile goli, yule Daktari alisema kabisa kwamba kumtoa Mwenzio Macho ni Dhambi Kubwa sana kwakua yule mgombea urais wa Chama cha CUF
Alipiga chafya wakati wa Kampeni hadi watu wote pale Kanisani wakaanza kumpongeza
Mchungaji kwa Huduma nzuri Kanisani, ndio maana kabichi ya betri ya nokia gari ya automatic ni kwenda kibaha kucheza singeli