Kiukweli kuna baadhi ya watu mavazi fulani au sare fulani zinawapendeza na wanatokelezea. Shuhudia wanavyopendeza!

Maisha yanakwenda mbio sana leo hii wewe ndiye unaandika haya
Maneno ya wahenga kuwa heri ya Mbwa aliye hai kuliko Simba aliyekufa.
Mungu akusaidie utazame ulikotoka ujue unaenda wapi ?
pole sana taifa limepoteza mtu mahili na mhimu kama wewe Siasa za Afrika hapana Pascal Mayalla
 
Bandiko zuri kwa wenye uwezo mkubwa wa kuelewa. Nashangaa mnamtukania nini mkuu Pascal Mayalla
Mkuu Ngariba1 , hii ndio jf yetu ya kisasa, wale ma GT wa enzi zile siku hizi hawapo, ukipandisha bandiko linalomuhitaji msomaji to think, unaishia kutukanwa kama kwenye bandiko hili.
Hii jf ya sasa full of vilazaz sijui tunakwenda wapi?!.

Mimi nimejitolea kuwa ticha humu, kuwafunza madogo humu, how to think.
P
 
Kuna kesi ya Mbowe nilitegemea ushushe nondo kama mwanasheria na mwandishi wa habari mwandamizi lakini siku hizi huna tofauti na Kibajaji au Ndugai

Ni mjinga tu anaweza fanya hivyo. Kesi iko mahakamani. Hujui kushoto na kulia wana silaha gani. Unazungumzia ili iweje na kwa manufaa ya Nani.

Kesi ikiisha na mtu Ana facts anaweza Sema neno. Lazima mwenye akili aone mbali. Wewe unamshauri apige majungu ili Basi upate faraja. Akitoa maoni tofauti na mawazo yako utamponda. That’s why you people ni bundle of contradictions.
 
Imeisha hiyo hakuna mtu wakurushia tena mifupa .
Huo ndio ukweli mchungu mkuu kama wakukaya mwenyewe alishindwa akaishia kusema kwetu Mayalla ni njaa sembuse Mkojani amwinue??Mavazi tena ya jeshi wengi wenye mawazo ya udikteta wanavaa sio kwa kupenda ila kama nembo ya kutisha watu kama alivyokuwa mwendazake rudi lkwa kikwete ambae alikuwa mwanajeshi kabla kama alishawahi kujisherehesha na minguo kama hiyo.
 
Hivi akina mama mbona siku hizi mmekuwa wababe sn
 
Nakuunga mkono mzee
 
Hata chenkapa sikuwahi kumuona ametinga hiyo kitu
 
Sina neno lkn P
 
Hv mwendazake alipoamaanisha Mayala ni njaa ilikuwa kweli au fix zake tu???
Mungu amuweke pema peponi, alichosema ni kweli, ila lugha ya Kiswahili ina upungufu wa vocabulari.
Mayalla maana yake ni baa la njaa, lilisobabishwa na ukame, yaani drought caused by famine, kwa kiswahili sani ni ukame na sio njaa.
Watu wakatafsiri ni njaa ya tumbo inayohitaji shibe ya mlo!. Kiukweli kauli nyingine huumba, baada ya kauli ile, tenda zangu zote za matangazo zilifutwa, ofisi ya PPR, ilikuwa eneo la mjini kati, nikilipia pango la zaidi ya mshahara wa DC kila mwezi!. Nilikuwa nimeajiri vijana 20, jumla ya mishahara yao, ilitosha kuwalipa mshahara wa mwaka mzima ma RC -3, Wakurugenzi 2, na ma DC 5!. Baada ya kuitwa njaa, njaa kweli ikanimbelea.
P
 
Dressing code ya mafundi mchundo na mainjinia ni helmet na ovaroli. What is the state of our minds?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Dressing code ya mafundi mchundo na mainjinia ni helmet na ovaroli. What is the state of their minds?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mtu yoyote anapochukua tahadhari ya jambo lolote, his/her state of mind is insecurity, hivyo anavaa protective gear kujilinda. Hata kuvaa zana ni kujilinda, kuvaa barakoa ni kujilinda, kuvaa helmet ni kujilinda, hivyo any protective gear inampa mvaaji a sense of safety and security, hivyo kutimiza wajibu wake akiwa anajisikia safe.
P
 
Mkuu ni kwa nini ukitoa mada baadhi ya watu wana mitazamo hasi juu yako

Nini kipi hasa ulichowakosea maana nimekuwa ufuatiliaji wa mada zako kwa muda sasa naomba majibu yako tafadhali natanguliza [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Imetokea tuu watu hatufanani, sisi wengine tumejikuta tuna damu ya kunguni, hivyo kubezwa humu jf, ni kitu cha kawaida. Kama hata Mkuu wa nchi humu anabezwa mwanzo mwisho, who M, I nisibezwe?.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…