Kiukweli kuna baadhi ya watu mavazi fulani au sare fulani zinawapendeza na wanatokelezea. Shuhudia wanavyopendeza!

Pole sana ndugu yangu Pascally hata ukisifia vipi safari hii tupo zaidi kuleee mkojani na wala siyo tena izimbyamata.
 
😍
 
Bandiko lenye tiba mujarabu 😍

Nimelisoma kwa "utuo" na kumaizi yumkini UTU UZIMA DAWA.......

Kongole kwako kamarada MayallaπŸ’ͺ

Hakika mh.Chifu Mkuu wa Machifu El Comandante SSH amependeza mnooooo😍😍


SIEMPRE SSH
NCHI KWANZA
 
Pascal mayalla nko Makin katika thread zako.... Nlkukumbuka Ile " wanataka kutu Libya" Sasa na hiii third eyes mmh
 
Siku nyingine ukuje na uzi kuhusu makondakta wa kike ktk daladala wanavyopendeza wakivaa zile suti zao πŸ˜‚πŸ˜‚

Anzisha uzi huo hata kesho tu tutakupa like za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…