Kiukweli kuna baadhi ya watu mavazi fulani au sare fulani zinawapendeza na wanatokelezea. Shuhudia wanavyopendeza!

UDC unatafutwa kwa nguvu
 
Umeanza tena habari ya 'magazeti'?. Safari hii utafanikiwa?

Nimesoma kichwa cha habari na kuona picha tu basi! Utanisamehe kama yamo mengine ya ziada.
 
Wanajeshi ni watumishi kama watumishi wengine!! Tuache ushamba wa kutishaaana kwamba watakupiga au wanapigaaa hiyo huwafanya nawao wahisi wanatakiwa kuogopwa ama wanahaki kupigapiga!!
 
Kuna kesi ya Mbowe nilitegemea ushushe nondo kama mwanasheria na mwandishi wa habari mwandamizi lakini siku hizi huna tofauti na Kibajaji au Ndugai
Mkuu Babati , kwa vile jf ni user generated forum, kila mtu yuko free kuzungumzia chochote anachoona kinafaa, na japo ni kweli kesi ya Mbowe ndio habari kuu ya mujini kwa sasa, sio lazima kila mtu aizungumzie kesi ya Mbowe. Pili ni mwanasheria in a sense that nimesoma sheria, but I've never practiced hivyo sina uwezo huo wa ulioutegemea wa kushusha nondo kama mwanasheria, mimi ni mwandishi wa habari tuu wa kujitegemea na sio mwanasheria as mwanasheria.
P
 
Kuna kesi ya Mbowe nilitegemea ushushe nondo kama mwanasheria na mwandishi wa habari mwandamizi lakini siku hizi huna tofauti na Kibajaji au Ndugai
HANA UJANJA HUO.CCM KWA SASA HAYUPO WA KUMKEMEA MWENZIE.ANGALIA BUNGE,MAHAKAMA
 
Soma na uelewe
Nimesoma nimekuelewa sasa nakuuliza.

Kwann amri jeshi mkuu kuvaa nguo za jeshi ni maigizo na mambo ya hovyo?

Kuna mambo mangapi yamefanywa na maraisi wengine JK na Mkapa hawajayafanya kwann hili la kuvaa nguo iwe reference kwa hao wawili?

Natabiri huna majibu yenye maana na utademka na kukatika tu. Prove me wrong.
 
Upo serious kweli?
Cha ajabu ni nini?
Huu ni upuuzi zaidi ya upuuzi
Utu uzima wako hustahili au nawe bado ni kijana
Nchi ina maajabu hii sana..
Huu ni utoto sasa
Mkuu Pakawa , kuna kitu kinaitwa kutazama kitu kwa different perspectives, wengi uwezo wenu ni kuona sare tuu za jeshi, sisi wenye eyes to details jicho letu linaona beyond mavazi, hivyo unapoleta hoja zinazohitaji wenye uwezo to read in between the lines, na wengi humu ni vilaza tuu, then vilaza hawa watatoka kapa na ndio kama hivi kuambiwa hili ni bandiko la utoto!. Look beyond mavazi, mavazi yanazungumza, lazima uwe na jicho la kuona visivyo onekana na sikio la kusikia visivyo tamkwa. Jee wewe Mkuu Pakawa by your look na michango yako humu, unaonekana sio kilaza, how can you miss the point usijue nazungumzia nini kwenye bandiko hili?.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…