Nickson Swai
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 597
- 549
Habari aisee kiukweli mimi nimeishi na kubahatika kufanya kazi mkoa wa Arusha muda mrefu na nimezunguka mikoa mingine ila suala la mahusiano mabinti wa Arusha sio kama Dar wazushi na walaghai kiukweli Arusha mfano baadhi ya watoto wa Mbauda, Ngusero, Mpaka Sakina wapo straight sio wazushi.
Yaani basi tu kwa sababu saivi nipo Dar mkoa ambao nilipanga kuishi muda wote Arusha hivyo changamoto niliyokutana nayo ndomana nipo Dar kwa sasa.
Sijajua kwa upande wa wenzangu kwa upande wangu hawakunisumbua akipanga appointment jumamos au siku yoyote sio hapa Dar mtu anasema j2 ntakutafuta ikifika siku hiyo ratiba nyingi mara oooh nimepata dharura ilimradi akuzingue.
Nachokumbuka kuna mdada nilimpata suala la dini lakini mahusiano hayakudumu alikataa kubadili dini awe mkristo na mimi nilikataa mwisho wa siku akapata muislamu akamuoa big up A city.