Kiukweli napenda sana buti: Unavalia suruali nyingi

Kiukweli napenda sana buti: Unavalia suruali nyingi

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,113
Reaction score
65,124
Napenda sana kuvaa buti,

Yani huwa najisikia huru sana kuliko hata nikivaa Sneakers,
Naweza nikavalia suruali za aina nyingi bila kuleta tatizo lolote, kuanzia jeans hadi kitambaa.

Hivi sehemu gani wanauza Buti za maana kuanzia Chelsea boots, Ankle Boots (Travolta zilizopanda), Desert Boot (Ubuyu), Work Boot ????

Chuka.jpg


Hii inaitwa Chukka Boot wengi wetu mtaaani tunaiita Ubuyu, imetengenezwa na Newman.
Yani nataka ninunue buti kubana matumizi kwasababu zinakaa muda sana kuliko sneakers.
 
Loafers ndo nazipenda sana.

Navaa na nguo za aina zote na naenda nazo kokote.

Napenda kuvaa viatu vinavyoniweka free and flexible.

Loafers nazo za ukweli sana lakini kwenye siku za mvua ni balaa tupu.
 
Uzuri Wa kiatu kichakae, saa mtu unavaa kiatu mpaka unakichukia!!
 
Back
Top Bottom