Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 568
- 1,507
kwa wenye uzoefu wa bei za buti naomba mnisaidie bei ya hicho kifaahuu mzigo ni sh ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa wenye uzoefu wa bei za buti naomba mnisaidie bei ya hicho kifaahuu mzigo ni sh ngapi
Daah hivi vimekaa kijanja sanai like this, where can i get![]()
. Mwaka wa 9 huu unaelekea Ndugu, hivyo vifaa mpaka vikusemeshe au vijifiche ndo uvunje navyo mkataba...??.😁😁😁Kama sikosei ni Arusha. Nilinunua Dodoma kwenye duka la vifaa vya ngozi. Nilinunua hicho kiatu na mkanda wa suruali.
Kiatu nakipigisha mishe balaa, mkanda navaa daily. Mwaka wa sita sasa.