MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Safari boot ndio my favorite!!
American Boot vinadumu sana!!!!!dah...!
Loafers ndo nazipenda sana.
Navaa na nguo za aina zote na naenda nazo kokote.
Napenda kuvaa viatu vinavyoniweka free and flexible.
pitia woolworth ujipatie
kwakweli kuhusu buti sijui chochote.. me ni mpenzi wa raba tu ila nazionaga
Loafers nazo za ukweli sana lakini kwenye siku za mvua ni balaa tupu.
Hii imetulia sanaView attachment 443314 kama hivi naweza kuvipata wap?
vipo..njoo nikupeNa Tanzanian boot je?