Kiukweli napenda sana buti: Unavalia suruali nyingi

kati ya viatu nilivyonavyo ila Timbs, Na Travolta ndo huwa navipenda na kuvivaa sana
 
Ht mm jamani, hv huwa hakuna size za watoto. Mm ni she ila napenda sana mtoto wangu awe nazo. Huku mwanza nshatafuta sana hd nimechoka.
safari boots ndo zikoje? mara nyingi maduka ya South Africa wana vitu vingi vya watoto ambavyo bongo hakuna maybe naweza kukuangalizia
 
Mkuu mambo gani ya kutamanisha buti kali wakati unajua mwezi mbaya huu?😀😀
 

CALVIN KLEIN JEANS
Leather Ankle Boots - Kitty
CALVIN KLEIN JEANS
Leather Ankle Boots - Kitty
£295.00
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…