Kiukweli napenda sana buti: Unavalia suruali nyingi

Kama sikosei ni Arusha. Nilinunua Dodoma kwenye duka la vifaa vya ngozi. Nilinunua hicho kiatu na mkanda wa suruali.
Kiatu nakipigisha mishe balaa, mkanda navaa daily. Mwaka wa sita sasa.
. Mwaka wa 9 huu unaelekea Ndugu, hivyo vifaa mpaka vikusemeshe au vijifiche ndo uvunje navyo mkataba...??.😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…