Kiukweli Pharrell katupia safi!

Kiukweli Pharrell katupia safi!

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
ImageUploadedByJamiiForums1395773704.361310.jpg

Nimevutiwa sana na uvaaji wa msanii huyu Pharrell sio mbaya wanaJF tukatoka mara moja moja kwa stail hii!!
 
Dah hyo suluari kakunja ama....binafsi sijapenda alivyovaa...
 
Mmmhh labda masharobaro inawafaa sanaa
 
Yaani wimbo wa ajabu ila sasa ulivyo-hit ni noma
 
Yaani ukivaa wewe Kibo10 na hivi mnafanana fanana utatokelezea sana.
 
Back
Top Bottom