Kiukweli Sihitaji tena mahusiano na mwanamke yoyote yule,

Kiukweli Sihitaji tena mahusiano na mwanamke yoyote yule,

Mijadala Migumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
426
Reaction score
540
Experience makes a person better or bitter. Kiukweli Sihitaji tena mahusiano na mwanamke yoyote yule,,,,
Wanawake wa kizazi hiki hawajui wanachotaka unaweza piga jitu ukaenda jela Bure na future yako ikapotea,,,, Nimechoka kupigwa matukio aseeh sitaki stress tena life ni fupi wadau. Kuanzia sasa mimi na madada poa tutakuwa pete na kidole....

Nitafanya ziara kwenye machimbo yao yote na nina ahidi kuwa mteja wao wa kudumu. Na hapa kuna goma nime request liko njiani linakuja nifanye ufunguzi RASMI wa maisha yangu mapya baada ya maumivu ya kusalitiwa.
 
experience makes a person better or bitter. Kiukweli Sihitaji tena mahusiano na mwanamke yoyote yule,,,,
Wanawake wa kizazi hiki hawajui wanachotaka unaweza piga jitu ukaenda jela Bure na future yako ikapotea,,,, Nimechoka kupigwa matukio aseeh sitaki stress tena life ni fupi wadau. Kuanzia sasa mimi na madada poa tutakuwa pete na kidole.... Nitafanya ziara kwenye machimbo yao yote na nina ahidi kuwa mteja wao wa kudumu. Na hapa kuna goma nime request liko njiani linakuja nifanye ufunguzi RASMI wa maisha yangu mapya baada ya maumivu ya kusalitiwa.
Madada poa na wao walipigwa vitu vizito kwa sababu ya ujinga wao na tamaa zao mwisho wanakata tamaa ndio Maana wanaokuta Tu kama mizoga.

Mkuu huna haja ya kuhangaika na madada poa kuna mtu anatoa huduma ya Kuhasi mambupu nikupe connection
 
Ukiona mwanaume ananunua malaya ......machimbo.....

Yani vitu ambavyo anaviangalia kwq mwanamke .......anajikuta tu anavamia malaya mstaafu

Kisha anakuja kumaliza stress zake


Ila siku moja unakuta umekuwa mzee mwenyekiti wa jumuita. Unakuta umeshamaliza umalaya, ulevi, anasa umemaliza kila kitu kilichobaki unachokisahau ni kumtafuta Mungu.😀
 
Pole sana ndugu Mijadala Migumu kwa yote unayopitia. Ni wazi umepitia maumivu makali sana na hisia za kusalitiwa zinaweza kuumiza roho na kukufanya ukate tamaa kabisa. Ni jambo la kawaida kujisikia hivi baada ya kupitia changamoto kama hizo.

Badala ya kukimbilia maamuzi makubwa ukiwa kwenye maumivu, labda unaweza kuchukua muda kwanza kutuliza akili na roho yako. Jipe nafasi ya kupona, kujitafakari na kujipanga upya. Focus kwenye furaha yako ya ndani na malengo yako binafsi kwa sasa.

Dunia ina watu wengi wazuri, na sio wote watakuumiza. Hata hivyo, kwa sasa, unaweza kuhitaji muda wa kuwa wewe tu, kujijengea furaha yako mwenyewe bila kutegemea mtu mwingine. Usikate tamaa kabisa na maisha au mahusiano kwa sababu ya changamoto za sasa. Kila kitu kina wakati wake, na nguvu zako za ndani zitakuongoza.
 
Tabia ya mapenz huchanua popote pale hukohuko kwenye malaya utanasa tu niamini..

Utakuja kutana na malaya utaenjoy company yake utarudia kumnunua tena na tena,mwisho ataanza kukupa bure...
Kuna siku utajisemea "labda huyu ameuza sana amechoka na anataka maisha mapya" utamuamini na utampenda kweli ukiamini ametulia kumbe UNAUNGUA...
 
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA📌

Ukiona mwanamke hakupendi basi tambua kuna mwingine anayempenda ambaye siyo ww.
na hapo atakusumbua sana na mapenzi unaweza ukayaona machungu na hata kuyachukia mapenzi.
Hivyo ni HERI kuoa mwanamke anayekupenda📌
 
Back
Top Bottom