Kiukweli Siitendei Haki Fremu Yangu..Msaada.!!

Hata mimi nilikuwa na wazo hilo hilo,
La maana ni kuangalia tu usalama wasije wakaondoka na pesa zote.
Jaribu kuuza pombe ili wakija kudraw waanze kutumia hapohapo!
 

Sipo Kwamsuguri Barabarani Mkuu, Nipo Ndani Kidogo, Kuhusu Kupata Fremu Uku Ni Unaongea Na Dalali Tu Akikupigia Simu Imepatikana Unakuja Na Cash Mda Huohuo Ukidelay Kidogo Unakuta Ishachukuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…