Kiukweli, Simba wameshazoea kuliabisha taifa huko ugenini. Tumechoka!

Kiukweli, Simba wameshazoea kuliabisha taifa huko ugenini. Tumechoka!

Hata Lethoto watufunge,itakuwa ni aibu" by hayati's voice
 
Ndio mleta mada ni muongongo na hajui.
Kwenye soka kufungwa kwa klabu ya soka sio kuliabisha taifa bali ni sehemu ya mchezo,hata timu za taifa za nchi zinafungwa sembuse klabu!
Kama hujui soka hujui tu.
Simba tutapindua meza,ni ngumu kupindua lakini kwa klabu ya Simba ni rahisi.
Simba nguvu moja.
Na tutakapowapuliza hawa Wazulu hawa vibaraka wao lazima tuwakekete
 
Utopolo hapo wanaona raha kweli, mwisho wa msimu mtajikuta hata nafasi ya pili hamna.. wakati wenzenu tutakua tumeisha zoea sana kufika robo fainal na ubingwa wa ligi mkononi.
 
Salam kwa uto
JamiiForums766620066.jpg
 
Back
Top Bottom