A
Anonymous
Guest
Haiwezi isha siku moja bila kukatiwa umeme hapa Wilaya ya Masasi, kila siku wana matengenezo, hawajali kama ni siku za kazi au siku za kiuzalishaji zinaendelea, Tunaweza kaa bila umeme siku 3 mfululizo, weekend zote hatuna umeme shida iko wapi? Kama wameshindwa tafadhali wataifishe tumechoka!
Hello, kifupi wilaya nzima ya masasi ni mateso wa mjini weekend zote umeme unazimwa, huko vijijini ndio kabisaaa! Natamani nikutumia screenshots za group la tanesco masasi uone jinsi ambavyo tunaumia wana masasi. wilaya hii si mjini wala wa vijijini ni taabu. Na ukienda ofisini kwao hata mkurugenzi humkuti wote wanakimbia kimbia tu.
Mimi ni mfanyakazi wa Halmashauri Wilaya ya Masasi tuko mbali kidogo na mji tunaamka asubuhi tunapanda magari tunaenda huko halmashauri ilipo kufanya kazi lakini niamini hakuna kinachofanyika maana umeme ni changamoto, tunaangalia kompyuta tunavyoingia mpaka tunavyotoka.
======================

👇🏽 UFAFANUZI WA TANESCO
Haiwezi isha siku moja bila kukatiwa umeme hapa Wilaya ya Masasi, kila siku wana matengenezo, hawajali kama ni siku za kazi au siku za kiuzalishaji zinaendelea, Tunaweza kaa bila umeme siku 3 mfululizo, weekend zote hatuna umeme shida iko wapi? Kama wameshindwa tafadhali wataifishe tumechoka!
Hello, kifupi wilaya nzima ya masasi ni mateso wa mjini weekend zote umeme unazimwa, huko vijijini ndio kabisaaa! Natamani nikutumia screenshots za group la tanesco masasi uone jinsi ambavyo tunaumia wana masasi. wilaya hii si mjini wala wa vijijini ni taabu. Na ukienda ofisini kwao hata...