OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
acha na watoto wa watu wasome..
Ni balaa hawa watoto nakwambi,tz nzima wapo hapa.
wadau nimeshuka leo tabora kikazi.tabora ya sasa sio kama ya zamani.kinachonifariji ni hawa warembo mixer wa uhazili, watoto wazuri,wakienyeji na wa tauni.wamepamba mji safi sana.mwezi jana nilikuwa huku mji ulikuwa umepoa sana,kumbe digidigi hawa walikuwa likizo.imenibidi nipange hapa jd ambako kuna hostel zao ili kuburudika zaidi.kwa kweli ukileta masihara unaweza usirudi na repoti kwa bosi.hongereni watoto wazuri wa uhazili,nyie ndo mna-run tabora.ila naambia mnalisha waume za watu "sansa"
Wadau nimeshuka leo Tabora kikazi.Tabora ya sasa sio kama ya zamani.Kinachonifariji ni hawa warembo mixer wa Uhazili, Watoto wazuri,wakienyeji na wa tauni.Wamepamba mji safi sana.mwezi jana nilikuwa huku mji ulikuwa umepoa sana,kumbe digidigi hawa walikuwa likizo.Imenibidi nipange hapa JD ambako kuna hostel zao ili kuburudika zaidi.Kwa kweli ukileta masihara unaweza usirudi na repoti kwa Bosi.Hongereni watoto wazuri wa Uhazili,nyie ndo mna-run Tabora.Ila naambia mnalisha waume za watu "sansa"
acha uzinzi
Mi napenda siku moja mtu alale na mtoto wake bila kujua ili iwe fundisho
tamani yakukute na wewe mkuu iwe funzo na kwako.
mambo!!?..
WATOTO WA UHAZILI NI HABARI NYINGINEWadau nimeshuka leo Tabora kikazi.Tabora ya sasa sio kama ya zamani.Kinachonifariji ni hawa warembo mixer wa Uhazili, Watoto wazuri,wakienyeji na wa tauni.Wamepamba mji safi sana.mwezi jana nilikuwa huku mji ulikuwa umepoa sana,kumbe digidigi hawa walikuwa likizo.Imenibidi nipange hapa JD ambako kuna hostel zao ili kuburudika zaidi.Kwa kweli ukileta masihara unaweza usirudi na repoti kwa Bosi.Hongereni watoto wazuri wa Uhazili,nyie ndo mna-run Tabora.Ila naambia mnalisha waume za watu "sansa"