Kiukweli watu wa Kaskazini nawaonea wivu usioumiza, ni wivu wa kupenda kwao!

Kiukweli watu wa Kaskazini nawaonea wivu usioumiza, ni wivu wa kupenda kwao!

Nsanzagee

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
2,209
Reaction score
4,769
Huu ni utamaduni ni mzuri kuigwa

Utamaduni wa kukumbuka nyumbani walau maramoja kwa kila mwaka, kipengele hiki kwangu hunivutia sana, kwanza ni kama kihochea cha maendeleo ya kaya na kaya

Kile kitendo cha mtu wa familia fulani kurudi na kitu nyumbani na mtu wa familia fulani kutokuwa nacho, kinamfanya naye akasirike na kuongeza namna ya utafutaji!

Na kuiga jambo zuri sio ushamba, watu kutoka Kigoma, Bukoba, Kanda ya ziwa, Mbeya na maeneo mengine, tunayo ya kuiga kutoka watu wa Kasikazini na huwenda hata wao yapo ambayo huiga kutoka kwenye watu wa mikoa mingine
 
Back
Top Bottom