mijitu mingine banaaa sijui yazaliwa mwaka ganiiKwa ufupi tu Nisiwachoshe, nimemsikia mtangazaji wa Azam TV akitoa ushuhuda alipokua akitangaza mpira kati ya Stand United Vs Yanga kwamba Ibrahim Ajib katumwa na Kashushwa na Mungu ili aje Duniani kuwaambia wanamichezo wa michezo yote hapa Duniani kwamba yeye mguu wake hauna mfano na umembwa kwa Makinikia. Azam Tv nyinyi mna wanasayansi wamewazidi hata NASA?. Au mnatakakutuaminisha nini.