Kiumbe cha kwanza kushushwa na Mungu hapa Duniani chapatikana Tanzania by Azam TV.

Usangu

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
826
Reaction score
450
Kwa ufupi tu Nisiwachoshe, nimemsikia mtangazaji wa Azam TV akitoa ushuhuda alipokua akitangaza mpira kati ya Stand United Vs Yanga kwamba Ibrahim Ajib katumwa na Kashushwa na Mungu ili aje Duniani kuwaambia wanamichezo wa michezo yote hapa Duniani kwamba yeye mguu wake hauna mfano na umembwa kwa Makinikia. Azam Tv nyinyi mna wanasayansi wamewazidi hata NASA?. Au mnatakakutuaminisha nini.
 
Kumbaff kabisa! Nalaabuk!!! Nikajua season inakwenda kupaa!! Watalii wataenda kuzidi idadi ya raia! Kumbe dogshit kabisa!!
 
Hii ungeipeleka kwenye jukwaa la jokes/utani, siyo hapa.
 
Kwa ufupi tu Nisiwachoshe, nimemsikia mtangazaji wa Azam TV akitoa ushuhuda alipokua akitangaza mpira kati ya Stand United Vs Yanga kwamba Ibrahim Ajib katumwa na Kashushwa na Mungu ili aje Duniani kuwaambia wanamichezo wa michezo yote hapa Duniani kwamba yeye mguu wake hauna mfano na umembwa kwa Makinikia. Azam Tv nyinyi mna wanasayansi wamewazidi hata NASA?. Au mnatakakutuaminisha nini.
mijitu mingine banaaa sijui yazaliwa mwaka ganii
 
Back
Top Bottom