PEPSI BIG
Member
- Sep 23, 2019
- 37
- 23
Wapendwa poleni na mihangaiko ya corona!!
Mimi kwangu kiumbe waajabu zaidi ni mwanaume
Anatafuta pesa kwanguvu zote afu tukiwaomba wanaanza kujishika shika nakunyiuma uma mwisho wa siku wanazitoa zote kesho yanaanza kulia kama mbuzi,
Mama yake mzazi anaweza kutotumiwa pesa hata miezi mitatu mpaka aumwe lakini kimpango wakando hadi ntaulizwa mbona hauombi nani anakupa bhasi anapigwa mtu zakutosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mdogo wangu akiwa anasoma hasa wakike litamuhudumia mpaka chupi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mpaka ntashikwa na uwivu maana hamchelewi kula kimasihara
angalia sasa mdogo wake matusi mengi nakuambiwa malaya arudi kijijini akasalimie wazazi
Taja na nyingine hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliyoisahau
Sent using Jamii Forums mobile app