Kiungo bora duniani anapolambishwa udongo na kijana wa miaka 18

Kiungo bora duniani anapolambishwa udongo na kijana wa miaka 18

Ulimgonga? Acha ushabiki maandazi, kaangalie alipotoka na ule mpira ,spid ya hali ya juu, splint ya kiwango cha sgr ,

Halafu sio Mara ya kwanza kufanya hivo , huyo mtoto weka mbali kabisa

Muulize klopp anamjua vzr


Now anammendea

#LFC 'set sights on Arsenal youngster Gabriel Martinelli'

Liverpool transfer news LIVE - Reds set 'sights on Martinelli' Liverpool FC News on Twitter
View attachment 1331240
Kante nae bhana.
Yaani alivyolamba hizo nyasi. Kama haamini vile 😀😀
 
Kilichonifurahisha ni jinsi kante alivyolamba mweleka chini..

Inafanana kias na ya captain wetu Steve g
 
By our calculations, in the build-up to his goal, Gabriel Martinelli ran 70 yards in around 7.5 seconds.

So, he must’ve run at about 20 mph on average, while dribbling with a ball that was bouncing awkwardly.

That doesn’t even mention the calm finish!

Incredible. [emoji1054][emoji1376]
 
uzuri wawasio ujua Moira Leo wanamsifia kesho wata mkataa
Kwan kaanza kuonekana Jana?


Ana miaka 18 tu, tayari ana magoli 10 na assist 2 hadi sasa akiwa na Arsenal


Akiwa Brazil ligi daraja la 4 , ndan ya mech 200 ana magoli 200+


So alipokuja ulaya ilihitaji mech 1 tu , kuonesha ana kitu gani
 
Mie ni arsenal damu!

Lakini kiuhalisia hakuna cha ajabu dogo alifanya katika ile ishu alikuwa anataka kutuliza mali na mpira ukamtoka, ngoli kante aliteleza yeye mwenyewe hakulambwa chenga wala nini!!

Kitu kikubwa dogo kanikosha ni ile finishing yake! Kiukweli martinelli ni mfungaji mzuri saana! Kanajua kujiposition, ana mwendo na mmaliziaje mzuri pia.
Wewe umeandika ukweli yaani hukuandika kiushabiki kabisa...

hata mimi ni Arsenal damu
 
Gabriel Martinelli made 26 sprints more than any other player on the pitch, Arsenal’s second highest coming from Lacazette & Saka (both 11 sprints), while Emerson topped for Chelsea (14 sprints). Martinelli also recorded the top speed (34.11kmh) tonight. [@charles_watts]
 
Back
Top Bottom