Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kante nae bhana.Ulimgonga? Acha ushabiki maandazi, kaangalie alipotoka na ule mpira ,spid ya hali ya juu, splint ya kiwango cha sgr ,
Halafu sio Mara ya kwanza kufanya hivo , huyo mtoto weka mbali kabisa
Muulize klopp anamjua vzr
Now anammendea
#LFC 'set sights on Arsenal youngster Gabriel Martinelli'
Liverpool transfer news LIVE - Reds set 'sights on Martinelli' Liverpool FC News on Twitter
View attachment 1331240
Mkuu mimi Man UTD
Acha ushabiki maandazi mkuu... Kante alidondoka ata Gerald aliwahi kudondoka ivyo Drogba akafunga ..ivyo vitu hutokea tuDogo ana kas sana na splint ,dribbling ya hali ya juu,
Kante halali kudondoka
Sasa alidondoka si baada ya kuona kimbunga kinakujaAcha ushabiki maandazi mkuu... Kante alidondoka ata Gerald aliwahi kudondoka ivyo Drogba akafunga ..ivyo vitu hutokea tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan kaanza kuonekana Jana?uzuri wawasio ujua Moira Leo wanamsifia kesho wata mkataa
Wewe umeandika ukweli yaani hukuandika kiushabiki kabisa...Mie ni arsenal damu!
Lakini kiuhalisia hakuna cha ajabu dogo alifanya katika ile ishu alikuwa anataka kutuliza mali na mpira ukamtoka, ngoli kante aliteleza yeye mwenyewe hakulambwa chenga wala nini!!
Kitu kikubwa dogo kanikosha ni ile finishing yake! Kiukweli martinelli ni mfungaji mzuri saana! Kanajua kujiposition, ana mwendo na mmaliziaje mzuri pia.
Mashabiki wa Yanga wengi ni Chelsea, Man U ni Simba.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Tutafungwa 2 bila.Mbao za mawe kumbe United mwenzangu? Leo tuna kibarua na Burnley nipe maoni yako mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app