Tena Africa ya kaskazini ,safi sanaHongera Ninja, umethubutu kuweza kutoka nje ya nchi
Ha ha ha,Wachezaji wa Tanzania wakimiss bangi zao wanavunja mikataba kurudi nyumbani
Unakosea sana mkuuKatika wachezaji vilaza Tanzania ni himidi mao hajui kitu
Aliniboa mechi moja ya Taifa stars na Algeria nikamuona jamaa ni average playerUnakosea sana mkuu
Game moja tu ndio unamvua vyeo kiasi hicho [emoji23]?..Aliniboa mechi moja ya Taifa stars na Algeria nikamuona jamaa ni average player
Kumbe wana undugu na Mrisho?Nasikia anko naye kasajili jangwani...hahahaah
Afadhali busquets anapotezwa uku anakaza sasa yeye kila akipata mpira anapoteza tu jamaa alizinguaGame moja tu ndio unamvua vyeo kiasi hicho [emoji23]?..
Umesahau ata Busquet alipotezwa na Nzonzi