Kiungo Himid Mao asaini mkataba wa miaka 3 Klabu ya Petrojet ya Misri

Kiungo Himid Mao asaini mkataba wa miaka 3 Klabu ya Petrojet ya Misri

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Mchezaji wa nafasi ya kiungo, ambaye pia alikuwa nahodha wa Azam FC Himid Mao Mkami (Ninja), amesaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia Klabu ya Petrojet inayoshiriki ligi kuu nchini Misri.
FB_IMG_1527885440789.jpg
IMG_20180601_234056_468.jpg
 
All the best Himid Mao Mkami, jamaa namkubali akiwa uwanjani cuz most of the time anakuwa kachomekea jezi yake, wajuvi wa mambo wanasema tabia km hiyo inaashiria jamaa wakati anasoma alikuwa kiranja kwasababu viranja muda wote walitakiwa kuwa wamechomekea ili kuwa mfano kwa wengine.
 
Safi sana Una bahati mbaya tu hujacheza na Ramos ila roho ya Himid inafanana sana na ya Ramos.
 
Safi sana nenda kaiwakilishe tz vyema
 
Hongera japo umetoka umri ukianza kukutupa mkono
 
Katika wachezaji vilaza Tanzania ni himidi mao hajui kitu
 
Aliniboa mechi moja ya Taifa stars na Algeria nikamuona jamaa ni average player
Game moja tu ndio unamvua vyeo kiasi hicho [emoji23]?..

Umesahau ata Busquet alipotezwa na Nzonzi
 
Game moja tu ndio unamvua vyeo kiasi hicho [emoji23]?..

Umesahau ata Busquet alipotezwa na Nzonzi
Afadhali busquets anapotezwa uku anakaza sasa yeye kila akipata mpira anapoteza tu jamaa alizingua
 
Back
Top Bottom