Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hicho cha juu ni hatari,yani hawa jamaa pamoja na timu yako inapigwa ila bado unafurahi.Kombinesheni ya kiungo cha Barca kilichokuwa na Xavi, Iniesta na Busquets dhidi ya kombinesheni ya kiungo cha Madrid kilichokuwa na Casemiro, Kroos na Modric kipi kilikuvutia katika ubora wao? Tupe na sababuView attachment 2689830
Kumbuka hao wa chini Wana UEFA 5.Kombinesheni ya kiungo cha Barca kilichokuwa na Xavi, Iniesta na Busquets dhidi ya kombinesheni ya kiungo cha Madrid kilichokuwa na Casemiro, Kroos na Modric kipi kilikuvutia katika ubora wao? Tupe na sababuView attachment 2689830
Hao wajuu wana UEFA tatu,kombe la dunia moja na Uero 2.Kumbuka kombe la dunia na Euro walichukua bila Messi.Kumbuka hao wa chini Wana UEFA 5.
Ila kiungo bila Leo Messi ni ubatili mtupu.
Sio bila Ronaldo, ila bila Ronaldo, Benzema.na Bale.Hao wajuu wana UEFA tatu,kombe la dunia moja na Uero 2.Kumbuka kombe la dunia na Euro walichukua bila Messi.
Hao wa chini bila Ronaldo nao ubatili mtu.
Achana kabisa na Ronaldo machine nyingine kabisa,hao wote nao bila Ronaldo si kitu.Sio bila Ronaldo, ila bila Ronaldo, Benzema.na Bale.
Xavi again…Kombinesheni ya kiungo cha Barca kilichokuwa na Xavi, Iniesta na Busquets dhidi ya kombinesheni ya kiungo cha Madrid kilichokuwa na Casemiro, Kroos na Modric kipi kilikuvutia katika ubora wao? Tupe na sababuView attachment 2689830
Walikuwa bora sanaBarca walikua noma, pasi zinapigwa hadi unashangaa