Kiungo kipi kilikuvutia?

Kiungo kipi kilikuvutia?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kombinesheni ya kiungo cha Barca kilichokuwa na Xavi, Iniesta na Busquets dhidi ya kombinesheni ya kiungo cha Madrid kilichokuwa na Casemiro, Kroos na Modric kipi kilikuvutia katika ubora wao? Tupe na sababu
DFB3232B-51CF-4B8C-B98E-248C4E2D60C4.jpeg
 
Kombinesheni ya kiungo cha Barca kilichokuwa na Xavi, Iniesta na Busquets dhidi ya kombinesheni ya kiungo cha Madrid kilichokuwa na Casemiro, Kroos na Modric kipi kilikuvutia katika ubora wao? Tupe na sababuView attachment 2689830
Hicho cha juu ni hatari,yani hawa jamaa pamoja na timu yako inapigwa ila bado unafurahi.
 
Hao wajuu wana UEFA tatu,kombe la dunia moja na Uero 2.Kumbuka kombe la dunia na Euro walichukua bila Messi.

Hao wa chini bila Ronaldo nao ubatili mtu.
Sio bila Ronaldo, ila bila Ronaldo, Benzema.na Bale.
 
Hivyo ni vizazi viwili tofauti hawakuwahi kukutana kwenye mechi moja kwaiyo ni ngumu kufananisha, ila kama wangekua kwenye same era basi icho cha barcelona kingewafunika hao wa madrid.
 
Back
Top Bottom