Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #21
Hahaha Sir Alex alitetemeka pale Wembley katika finalHicho cha juu ni hatari,yani hawa jamaa pamoja na timu yako inapigwa ila bado unafurahi.
Walikuww bora sana na hapajatokea tena kuziba nafasi zaoHicho cha juu
π€£π€£ usiombe wakutengenezee sambusa utasafa na mali huipatiHao Barca hawakuwa binadamu wa kawaida
Na uzuri wake iniesta, xavi na Sergio wapo on fire waliokua wanateseka ni hao hao wa chini
Ata ukiwauliza hao wa chini watakuambia jibu ni hao wa juu
Tayari muda mfupi ni kikwazo. hao akina Xavi walikuw toka sayari nyingineCOmb ya Xavi, Iniesta na Sergio iliwahi ku click kabla ya hii ya kina Casemiro, Kroos na Modric kwa hiyo wengi watapumbazwa na hiyo ya kina Xavi ila hii ya kina Casemiro ilikua fire pia japo kwa muda mfupi tu
Yule Busquets ukimuangalia kama sio mchezaji ila alikuwa balaa kubwa. Ile Fainal Sir Alex akampa JS Park amkabe Busquets ili asipeleke pasi za hatari mbele lakini wapiπ€£π€£Man Utd waliona Moto wa hyo combination ya Barca mnamo 2011 kwenye fainali ya UEFA pale Wembley.
Hiyo midfield ya Barca ilikuwa yamoto sana nyie acha tu.
Hao majamaa ilikuwa ni mwisho wa mattzWalikuww bora sana na hapajatokea tena kuziba nafasi zao
Hata kama sio kizazi kimoja kufananisha ni ruksa tuHivyo ni vizazi viwili tofauti hawakuwahi kukutana kwenye mechi moja kwaiyo ni ngumu kufananisha, ila kama wangekua kwenye same era basi icho cha barcelona kingewafunika hao wa madrid.
Zile gonga ni hatari mpaka crisriano ilikuwa anasimama mambo yasiwe mengi ππ€£π€£ usiombe wakutengenezee sambusa utasafa na mali huipati
Iniesta angeweza kukokota mali, kupunguza wachezaji kadhaa kisha angetoa pasi maridhawa kwa Messi na kufanya mashabiki wote wafurahiBarca walijengewa msingi mzuri na mwalimu wao, hawakuwa hivyo hapo kabla, japo iniesta nilikuwa nikimuhusudu mnoo.
π€£π€£Zile gonga ni hatari mpaka crisriano ilikuwa anasimama mambo yasiwe mengi π
Ile barca ilikuwa π₯π₯π₯π₯π€£π€£
Dinho nae ana daraja la pekee yakeIle barca ilikuwa π₯π₯π₯π₯
Nakumbuka hadi mademu walikuwa wanapenda kuangalia mpira kisa dinho π
Mkamateni kalewa huyu.kombinenga inachukua UEFA 3 mfululizo unawafananisha na hao wa juu hayo ni matusi
Huyu jamaa alikuwa fundi saana, hakuna mfanowe kwa kizazi hiki.Iniesta angeweza kukokota mali, kupunguza wachezaji kadhaa kisha angetoa pasi maridhawa kwa Messi na kufanya mashabiki wote wafurahi
Japo walisumbua sana ila walikua hawafui dafu kwa ChelseaTayari muda mfupi ni kikwazo. hao akina Xavi walikuw toka sayari nyingine