Kiungo kipi kilikuvutia?

Kiungo kipi kilikuvutia?

Man Utd waliona Moto wa hyo combination ya Barca mnamo 2011 kwenye fainali ya UEFA pale Wembley.

Hiyo midfield ya Barca ilikuwa yamoto sana nyie acha tu.
Yule Busquets ukimuangalia kama sio mchezaji ila alikuwa balaa kubwa. Ile Fainal Sir Alex akampa JS Park amkabe Busquets ili asipeleke pasi za hatari mbele lakini wapi🤣🤣
 
Hivyo ni vizazi viwili tofauti hawakuwahi kukutana kwenye mechi moja kwaiyo ni ngumu kufananisha, ila kama wangekua kwenye same era basi icho cha barcelona kingewafunika hao wa madrid.
Hata kama sio kizazi kimoja kufananisha ni ruksa tu
 
Tukutandike viboko kwa kuwakosea heshima hao vijana wa la masia.
 
Back
Top Bottom