Tetesi: Kiungo konokono awazimia simu viongozi

babu onyango

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2023
Posts
378
Reaction score
984
Baada yakupandwa hasira na kuamua kuondoka nchini hivi karibuni na kurudi kwako, Habari za hivi punde ni kwamba yule kiungo mwenye mwendo wa bibi harusi, mwendo wa pole kama mdudu aina ya konokono sasa hivi hapatikani kwenye simu.

Paka tunapoenda mitamboni ni kwamba
Viongozi wanahaha kumtafuta bila mafanikio,
Tutaendelea kuwajuza kila kinachoendelea
 
😹😹😹
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.

23. 5imba SC.
 
Yanga inawatesaaa tu halafu Mwisho wa siku Chama anawaoiga pesa.Deal mjini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…