Tetesi: Kiungo konokono awazimia simu viongozi

Huyu mwamba si ndio aliekinzana na Mo tajiri na Bado watu wakamthamini kuliko Mo haya sasa kikowapi.

Mchezaji hawez akawa mkubwa kuliko timu au tajiri. Akizingua fukuza.
 
Viongozi wa simba waache kubembeleza wachezaji,tafuteni wachezaji wengine!
Hii inadhihirisha Bado walitaka kuwatumia hawahawa mizigo msimu unaofata, kwa maana hio scout yao haikujiandaa kutafta wechezaji wapya sasa wanahaha nakushindwa wajigawe vp mda nao hautoshi .
 
Akili zako zinakuaga kama za mwendawazimu...mwezi ukiwa mchanga na ww akili zinakuruka..
##kilaza FC##
 
Cha ajabu kila mwaka utopolo huwa wanawafariji kunguni wao kwamba watamsajili.Wajinga sana.
 
Hilo bango lichapishe ulitundike sebuleni kwa shemeji yako.Mmezoea mabango.
 
Huyo jamaa aende tu
 
Mchezaji kila dirisha la usajili hua anasajiliwa yanga msimu unapo anza anacheza Simba sijui hii kitaalum imekaaje
Hapo anawadengulia wampandishie dau, na watapanda tu
 
Pamoja na kuitwa majina yote haya ila aliyetoa jina la utopolo final yร ani tunanyumbulisha tu
Utopolo
Uto
Utopwinyo
Utopwax
.......ongezea
 
Huyo Chama ndo nani kila msimu ukiisha? Mwacheni aondoke..
Usinijibu vibaya lakini sis ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ

Your browser is not able to display this video.
 
Pamoja na kuitwa majina yote haya ila aliyetoa jina la utopolo final yร ani tunanyumbulisha tu
Utopolo
Uto
Utopwinyo
Utopwax
.......ongezea
Pole sana Mtani wangu, ni mapito tu mtakaa sawa Ndugu zangu Makolokolo [emoji23]

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ