Kiungo mkabaji,Papy Kabamba Tshishimbi ametua Dar,kusaini Yanga ndani ya masaa48!!

Kiungo mkabaji,Papy Kabamba Tshishimbi ametua Dar,kusaini Yanga ndani ya masaa48!!

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
Tayari yupo kwenye mikono salama na atasain Yanga ndani ya 48hrs!!
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_images(1).jpg
 
Mkuu Konaball ubarikiwe Sana,nimeiona hiyo video kiukweli kamaa ni nouma sana,anakaba mpaka kimvuli cha nyasi aloooh!maana naona ata mipira haifiki kwa mabeki yeye anaosha tu tena kinyama!!
 
Usajili Makini, Naitabiria Yanga kuchukua Ubingwa tena kwa mara ya nne mfululizo
 
Mcameroon vp tz pekee mchezaji anasajiliwa kwa mechi moja tangu aondoke Chuji vyura hamjawai pata namba 6 uyu hana tofauti na mkata umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mcameroon vp tz pekee mchezaji anasajiliwa kwa mechi moja tangu aondoke Chuji vyura hamjawai pata namba 6 uyu hana tofauti na mkata umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
Roho mbaya itakuua wewe.

Licha ya kukosa huyo unayesema namba 6, makombe yameendelea kumiminika Jangwani huku wale wenye namba 6 ya kuaminika wakiweka mipango ya kuliimba kombe.😉😉😉😉😉😉😉
 
Back
Top Bottom