demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Perfect answer![emoji23]Roho mbaya itakuua wewe.
Licha ya kukosa huyo unayesema namba 6, makombe yameendelea kumiminika Jangwani huku wale wenye namba 6 ya kuaminika wakiweka mipango ya kuliimba kombe.😉😉😉😉😉😉😉
Sent using Jamii Forums mobile app