KIUNGO mpya wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Ivory Coast

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
KIUNGO mpya wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Ivory Coast kwa msimu uliopita wakati akiichezea Asec Mimosas.

Nyota huyo ambaye amejiunga na Yanga msimu huu usajili wake ulikuwa gumzo kutokana na utambulisho wake uliofanyika Julai 15 alfajiri huku akitegemewa kufanya makubwa na mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara kwa sababu ya kiwango chake kizuri ambacho alionyesha.

Mbali na Aziz Ki ila kiungo mpya wa Azam FC, Tape Edinho ameshinda pia tuzo ya kiungo bora wa msimu wakati akiitumikia klabu ya ES Bafing FC ya kwao Ivory Coast.

Katika tuzo hizo za msimu, Edinho alimshinda nyota wenzake wa Azam, Kipre Junior aliyesajiliwa naye msimu huu akitokea Sol FC ya huko huko Ivory Coast sambamba na nyota mwingine, Djire Abdoulaye anayechezea klabu ya Racing Club Abidjan.
 
Hongera nyingi kwake! Lakini pia tunamuombea heri ili msimu ujao aweze kupambana na akina Yannick Bagala Litombo kwenye kuwania hiyo tuzo ya uchezaji bora, kwa mara nyingine tena.
 
Tunamuombea heri msimu ujao aendeleze makali yake katika ligi yetu ili ashinde kwa mara nyingine tena akiwa na klabu yake ya Yanga.
 
Makolokocho fc na yule tahaira wao wanasema ni mchezaji aliyepatikana kwa sandakarawe,,,sasa sielewi ubora huo wa kuwa MVP kwenye ligi bora kautoa wapi
 
Ushabiki wa kipuuzi wa kitanzania huwa haijulikani mnaoshabikia nini? Wanaonishangaza ni Viongozi wa timu kuingia mkenge na kutoa maneno ya vijiweni kama hayo. Mmemnanga Habib Kyombo mpaka anajiona hafai, upande wa pili nao wanamnanga Aziz Ki wakati zaidi wa miezi 3 walikuwa wanamlilia.
 
Makolokocho fc na yule tahaira wao wanasema ni mchezaji aliyepatikana kwa sandakarawe,,,sasa sielewi ubora huo wa kuwa MVP kwenye ligi bora kautoa wapi
ni uyo Aziza tu wengine wapya wote mmemwagiwa mkaokota mkaleta klabuni.
kwakweli Senzo kachukizwa sana.
 
KIUNGO mpya wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Ivory Coast kwa msimu uliopita wakati akiichezea Asec Mimosas.

Nyota huyo ambaye amejiunga na Yanga msimu huu usajili wake ulikuwa gumzo kutokana na utambulisho wake uliofanyika Julai 15 alfajiri huku akitegemewa kufanya makubwa na mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara kwa sababu ya kiwango chake kizuri ambacho alionyesha.

Mbali na Aziz Ki ila kiungo mpya wa Azam FC, Tape Edinho ameshinda pia tuzo ya kiungo bora wa msimu wakati akiitumikia klabu ya ES Bafing FC ya kwao Ivory Coast.

Katika tuzo hizo za msimu, Edinho alimshinda nyota wenzake wa Azam, Kipre Junior aliyesajiliwa naye msimu huu akitokea Sol FC ya huko huko Ivory Coast sambamba na nyota mwingine, Djire Abdoulaye anayechezea klabu ya Racing Club Abidjan.
Nasubiria kwa hamu battle ya Benjamin Asukile Vs Aziz Ki
21EC5B3C-3011-487F-A55E-665C46BEE779.jpeg
 
KIUNGO mpya wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Ivory Coast kwa msimu uliopita wakati akiichezea Asec Mimosas.

Nyota huyo ambaye amejiunga na Yanga msimu huu usajili wake ulikuwa gumzo kutokana na utambulisho wake uliofanyika Julai 15 alfajiri huku akitegemewa kufanya makubwa na mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara kwa sababu ya kiwango chake kizuri ambacho alionyesha.

Mbali na Aziz Ki ila kiungo mpya wa Azam FC, Tape Edinho ameshinda pia tuzo ya kiungo bora wa msimu wakati akiitumikia klabu ya ES Bafing FC ya kwao Ivory Coast.

Katika tuzo hizo za msimu, Edinho alimshinda nyota wenzake wa Azam, Kipre Junior aliyesajiliwa naye msimu huu akitokea Sol FC ya huko huko Ivory Coast sambamba na nyota mwingine, Djire Abdoulaye anayechezea klabu ya Racing Club Abidjan.
Kwa jezi hii ya yanga ya mapichapicha hataweza kutamba tena
 
Kuna watu bado wamekariri ile Yanga ya long fucking ago eti ikatolewa first round! hii timu ya Yanga ya sasa ni moto kuliko fire! Aziz Ki akiungana na wenzake kila atakaesogea atakula za uso tu na kombe la CAF tutabeba na Aziz Ki kuwa mchezaji bora wa NBC premier league! nani anabisha?
 
KIUNGO mpya wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Ivory Coast kwa msimu uliopita wakati akiichezea Asec Mimosas.

Nyota huyo ambaye amejiunga na Yanga msimu huu usajili wake ulikuwa gumzo kutokana na utambulisho wake uliofanyika Julai 15 alfajiri huku akitegemewa kufanya makubwa na mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara kwa sababu ya kiwango chake kizuri ambacho alionyesha.

Mbali na Aziz Ki ila kiungo mpya wa Azam FC, Tape Edinho ameshinda pia tuzo ya kiungo bora wa msimu wakati akiitumikia klabu ya ES Bafing FC ya kwao Ivory Coast.

Katika tuzo hizo za msimu, Edinho alimshinda nyota wenzake wa Azam, Kipre Junior aliyesajiliwa naye msimu huu akitokea Sol FC ya huko huko Ivory Coast sambamba na nyota mwingine, Djire Abdoulaye anayechezea klabu ya Racing Club Abidjan.
Sakho kapata Kiatu cha Goli Bora katika Michuano ya CAFCC ( ambayo hata Aziz K na Timu yake Walishiriki ) hivyo kwa huyu kupata Tuzo hiyo Kwao wala sioni kama ni Jambo Kubwa na la Kushtua ( labda kwa Washamba na Wapuuzi pekee ) kwani kama ni Tuzo ya aina hiyo hata Beki wa Simba SC Henock Inonga nae ameshaitwaa huko Kwao Congo DR tena kama Beki Bora wa Ligi yao.
 
Kiungo mpya wa simba nelson okwa ameshinda tuzo ya MVP NA KIUNGO BORA ligi kuu Nigeria.afu wala hatuongei kitu coz ni KAWAIDA SAAAANA
 
Back
Top Bottom