Winga wa klabu ya Berekum Chelsea, Dominic Frimpong, ameuawa katika tukio la ujambazi wa kutumia silaha lililotokea ndani ya basi la timu hiyo walipokuwa wakirejea kutoka mechi ya Ligi Kuu ya Ghana dhidi ya Samartex siku ya Jumapili, kwa mujibu wa Ghana Football Association.
Inadaiwa majambazi hao walifyatua risasi kuelekea basi hilo lilipokuwa likijaribu kurudi nyuma, na kumpiga Frimpong, mwenye umri wa miaka 20, kichwani. Baadaye alifariki akiwa hospitalini, na ndiye mhanga pekee aliyeripotiwa katika tukio hilo.
Source: Reuters