Kiungo pekee kinachotabiiri kifo kwa mgonjwa wa kiume.sjui kwa Wanawake ILA hiki kidume ukifa kinasimama hatari.

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Mtoto/MWANAUME/Baba/Babu shikilia mashine yako kama uko poa kabisa huna changamoto ya kiafya, tekenya kende, gusa limsuri la katikati ya mtu.wa nyama wako, ukiona limesmama mwambie Mungu Asante.

Kwa ufupi MWANAUME akiumwa na ugonjwa AMBAO auendi kumtoa roho kila siku asubuh atasimamisha ILA ni chini ya miaka 40.
Ukizidi hapo ukiumwa homa ukalishika halismami jiandae ILA siku unakata roho linasimama hatari na mpaka unakata roho litakuwa limesimama hatari.
 
Wewe ni mortuary attendant?
 
Mimi baada ya kulitekenya nikiwa kwenye ya dose ya UTI.....
IMG_20260519_112231.jpg
 
Inaonekana unachanganya matukio kama terminal erection inayotokea kwenye vifo vya kunyongwa au majeraha ya ubongo.

Unaweza kuthibitisha kuwa mgonjwa yeyote wa homa ya kawaida au ugonjwa wowote akifa anasimamisha?
 
Back
Top Bottom