Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilivyoona kiungo nkajua kitunguu swaumuView attachment 929714
Kiungo wa Mtibwa Sugar Henry Joseph amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Oliver, siku ya Ijumaa ya November 9 2018 jijini Mwanza, Henry amewahi kucheza Simba SC na soka la kupwa katika club ya Kongsvinger ya Norway (2009-2013)
unawaza kula tuNilivyoona kiungo nkajua kitunguu swaumu
Wewe unawaza kuliwa tu?unawaza kula tu
Hata mm,nimekuelewaNimeamini Kweli uchawi upo
Hongera sana H.JView attachment 929714
Kiungo wa Mtibwa Sugar Henry Joseph amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Oliver, siku ya Ijumaa ya November 9 2018 jijini Mwanza, Henry amewahi kucheza Simba SC na soka la kupwa katika club ya Kongsvinger ya Norway (2009-2013)
Tizama pichakwanini
Ndo maana tunasisitiza uchawi upoDah....yaani unatoka Simba SC...Kisha Kongsvinger...halafu Mtibwa.....
Hongera zake nyingi kwa kuvuta "jiko" [emoji41]
Nilivyoona kiungo nkajua kitunguu swaumu
Unamaanisha iko siku #Samagoal77 tutakuja kumkuta Milambo ya Tabora?Dah....yaani unatoka Simba SC...Kisha Kongsvinger...halafu Mtibwa.....
Hongera zake nyingi kwa kuvuta "jiko" [emoji41]