Kiungo wa Mtibwa Sugar Henry Joseph amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu

Kiungo wa Mtibwa Sugar Henry Joseph amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu

Daah, hilo jicho la bibie ni shida! Hapo hajakutana na sawaka!..
 
Wanawake wazuri wazuri wanaolewa,yamebaki madungaembe yanahangaika yanahangaika!!
Yaukweli hayo, ngoja tubaki tu iko siku nasi tutapata[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom