Kiungo wa Mtibwa Sugar Henry Joseph amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491


Kiungo wa Mtibwa Sugar Henry Joseph amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Oliver, siku ya Ijumaa ya November 9 2018 jijini Mwanza, Henry amewahi kucheza Simba SC na soka la kupwa katika club ya Kongsvinger ya Norway (2009-2013)
 
Huyu jamaa alikuwa kiungo mkabaji mzuri sana wakati wa "ujana wake"!

Alikuwa na mwili haswaa wa kiuchezaji!....leo amekauka na kufubaa sana!

Sijui tatizo ni nini wakati bado anacheza mpira na mazoezi anapiga!
 
Dah....yaani unatoka Simba SC...Kisha Kongsvinger...halafu Mtibwa.....
Hongera zake nyingi kwa kuvuta "jiko" [emoji41]
 
Mbona kachoka sana .
Daaaah maisha safari kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…