Kiungo wa Mtibwa Sugar Henry Joseph amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu

Si alikua na yule sugar mama wake wa kihaya muda wote akiwa Norway na hadi aliporudi bongo
 
Daah, hilo jicho la bibie ni shida! Hapo hajakutana na sawaka!..
 
Hendry Joseph
Kiungo matata enzi za maximo
 
Wanawake wazuri wazuri wanaolewa,yamebaki madungaembe yanahangaika yanahangaika!!
Yaukweli hayo, ngoja tubaki tu iko siku nasi tutapata[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…