Ana cha kulipa basi?Simba wakidai fidia.. mkude atalipa nini? Namuonea huruma
Mwanasheria wa yanga hajawahi shinda kesi mkude aliingizwa chaka na zungu pori haji manara!
Hizi ndo hoja alizojazwa na yule mwanasheria feki wa utopolo😄.Alipopigiwa simu na ndugu zake, ufanisi wake uwanjani ukashuka!
Hakuna mwanasheria pale.YANGA DIRISHA DOGO WAMSAJILI KIBATALA
IDARA YAO YA SHERIA YA HOVYO SANA
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hii nchi sihami aiseAlipopigiwa simu na ndugu zake, ufanisi wake uwanjani ukashuka!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimwendo wa kugaragara.Sema huyo mwanasheria wa Yanga nilikuwa nampa benefit of doubt ila hii sasa too much. Ni kama bushlawyer Yanga haina maamuzi sahihi ya kisheria