Kiungo wa Yanga Jonas Mkude Ashindwa Kesi Dhidi Ya Simba.

Kiungo wa Yanga Jonas Mkude Ashindwa Kesi Dhidi Ya Simba.

Ana cha kulipa basi?
Utopolo walimuingiza cha kike kuwa atampiga Mo hela, ona sasa analipa yeye gharama,
Timu nadhani itamlipia na ndio waliomshauri... Kwa mujibu wa maelezo hapo juu
 
Hivi Yanga kuna kesi waliwahi kushinda? Maana najua huo ni ushauri wa wanasheria wa Yanga, sasa ajipange kulipa fidia
Lengo la timu ya mpita kushinda uwanjani.. vipi ktk hilo unaswali?
 
Sema huyo mwanasheria wa Yanga nilikuwa nampa benefit of doubt ila hii sasa too much. Ni kama bushlawyer Yanga haina maamuzi sahihi ya kisheria.

Ngoja nimerudi, hiyo kesi ilifunguliwa na Yanga kama team au Mkude akiwa peke yake na wanasheria wake bila kuihusisha Yanga.
 
Back
Top Bottom