ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Kwani Yanga ndo walikuwa na kesi na MoHivi Yanga kuna kesi waliwahi kushinda? Maana najua huo ni ushauri wa wanasheria wa Yanga, sasa ajipange kulipa fidia
Au ni Mkude mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Yanga ndo walikuwa na kesi na MoHivi Yanga kuna kesi waliwahi kushinda? Maana najua huo ni ushauri wa wanasheria wa Yanga, sasa ajipange kulipa fidia
Kweli wewe ni mbumbumbuHizi ndo hoja alizojazwa na yule mwanasheria feki wa utopolo😄.
Ila yule mwanasheria wa uto ni sifuri kabisa
tafadhari mkuu,fanya mpango wa kujua Sheria au ifatilie ,yanga alitakiwa kutoa ushahidi na Simba kutoa ushahidi kwenye madai ya mkudeKwani Yanga ndo walikuwa na kesi na Mo
Au ni Mkude mwenyewe
Nimekuuliza mwanasheria wa Yanga anafanya kazi ya kufuatilia kesi binafsi za kila mchezaji hata kama ataachana na mkewe, mwanasheria wa Yanga aende mahakamani kuteteatafadhari mkuu,fanya mpango wa kujua Sheria au ifatilie ,yanga alitakiwa kutoa ushahidi na Simba kutoa ushahidi kwenye madai ya mkude
Na ,hapa SHIDA inajitokeza mkude inaonesha hakufatilia kitu kinaitwa offsetting kwenye mkataba mkuu
Ila kiukweli mwanasheria wa Utopolo ni mweupe sana.Kweli wewe ni mbumbumbu
Hapo Kuna sehemu Yanga, walipeleka kesi mahakamani
Aliyeshitak ni Mkude siyo Yanga
Mwanasheria wa Yanga hawezi kufanya kazi za Mkude
Mkude aliweka mwanasheria wake
Acha kuwa mbumbumbu
We mbumbumbu ndo hujui kituIla kiukweli mwanasheria wa Utopolo ni mweupe sana.
Sio kinachoongelewa hapa, na pia ndio maana wameajiri mwanasheria. ingeluwa hivyo wasingekuwa nae.Lengo kuu la yanga si mambo ya kesi ni uwanjani mkuu..
We hujui Simba ndo walitangaza kumwachia mapema kabisaKatambulishwa Yanga tar 12 Julai...
Mkataba wake na Simba umeisha tar 30 Julai...
Mchezaji huweza kutambulishwa ndani ya mkataba na timu nyingine?
Au alikuwa na pre-contract kwa mujibu wa sheria ya Bosman?
We hujui Simba ndo walitangaza kumwachia mapema kabisa
Ina maana kumwachia walivunja mkataba
Yeye akapata timu nyingine
Au ulitaka acheze Simba iliyotangaza kumtema
Kwaiyo Simba walimpa barua ya kutokuwa nae ndani ya mkataba?Ninqchojua ni kwamba ndani ya miezi 6 ya mwisho yq mkataba, mchezaji anaweza tafuta timu nyingine na klabu yake inaweza ikampa taarifa ya kutoongeza mkataba...
Maelezo yangu kwa juu hapa yanajitosheleza mkuu...
Mchezaji anakuwa huru kufanya mkataba wa awali na sio mkataba kamili...
Mbumbumbu kama baba yako anayeliwa kiboga na P.DiddyKweli wewe ni mbumbumbu
Hapo Kuna sehemu Yanga, walipeleka kesi mahakamani
Aliyeshitak ni Mkude siyo Yanga
Mwanasheria wa Yanga hawezi kufanya kazi za Mkude
Mkude aliweka mwanasheria wake
Acha kuwa mbumbumbu
Pole mwanasheria weka hapa kesi ambayo umeshinda toka 2022 hadi 2024We mbumbumbu ndo hujui kitu
hujaona hapo Yanga imedai na yenyewe ilipwe dola 100k?Kwani Yanga ndo walikuwa na kesi na Mo
Au ni Mkude mwenyewe
Basi aliingia kwenye mtego. Mkataba wa maandishi unavunjwa kwa maandishi, sio kwa kusikia kauli ya mtu mmoja mmoja. Alitakiwa aombe barua ya kuachwa. Kama hakuwa na barua, mkataba bado ulikuwa hai. Kwani hukumbuki ilibidi Yanga wasubiri hadi tarehe 1 Agosti kumtangaza Chama?We hujui Simba ndo walitangaza kumwachia mapema kabisa
Ina maana kumwachia walivunja mkataba
Yeye akapata timu nyingine
Au ulitaka acheze Simba iliyotangaza kumtema
Ndio iwapo kuna muda kama inaruhusiwa hata kama hajamaliza makataba chukulia mfano kwa mbappe ilivyokuwa alishakubaliana na madrid kabla ya siku za mwisho za mkataba wake.Katambulishwa Yanga tar 12 Julai...
Mkataba wake na Simba umeisha tar 30 Julai...
Mchezaji huweza kutambulishwa ndani ya mkataba na timu nyingine?
Au alikuwa na pre-contract kwa mujibu wa sheria ya Bosman?