Kiungo Yaya Toure aomba msamaha Manchester City

Kiungo Yaya Toure aomba msamaha Manchester City

chetto said:
N upumbavu mkubwa kwa toure kuomba msamaha amekubali ubaguzi kwa maslahi yake sasa na gardiola alivyo mnafki na namba hatopata bora angekaza mwez wa 1 asepe timu nyingine kubwa pale uingereza akamjibu uwanjan kama etoo alivyomjibu
Yaya kachemka sana. Hapo
 
N upumbavu mkubwa kwa toure kuomba msamaha amekubali ubaguzi kwa maslahi yake sasa na gardiola alivyo mnafki na namba hatopata bora angekaza mwez wa 1 asepe timu nyingine kubwa pale uingereza akamjibu uwanjan kama etoo alivyomjibu
Etoo alimjibu nini uwanjani?

Nadhani Gurdiola anasumbuliwa na ubaguzi. Atafute timu isiyokuwa na waafrika
 
Etoo alimjibu nini uwanjani?

Nadhani Gurdiola anasumbuliwa na ubaguzi. Atafute timu isiyokuwa na waafrika
Samuel etoo Phil alikuwa mchezaji mahiri wa Barcelona amecheza na combo imara na bora kabsa kuwshi kutokea Hispania na dunia nzima mbele ya ronadinho gaucho,deco, xavi na iniesta chini ya team coach Frank baada ya kuingia gurdiola, msimu wa 2008/2009 etoo alifunga magoli 36 pamoja na lile alilowapa champions league dhidi ya man u, pamoja na mazur yote bado gurdiola kwa ubaguzi wake wa waz akataka kumpeleka akzaakstan akacheze uko kiukweli ni kukosa heshima, unafki na ubaguzi wa rangi basi etoo akaamua kutiamkia Italy enter Milan niliokuwa ikinolewa na special one Jose mourhino kwa free transfer huku yy akamnunua ibra kadabla asee jamaa anadhara, jibu la etoo ni pale walipokutana champions league na kuwatoa hatua na nusu fainali na etoo kufanikiwa kuwawezesha kuchukua champions league hakika alimprove wrong
 
cheto no one like etoo wazungu ni wabaguzi huyu alikuwa ni mshambuliaji hasa
 
Back
Top Bottom