Kiungulia kikali kama moto kifuani

Kiungulia kikali kama moto kifuani

kbo

Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
46
Reaction score
2
Mwezi wa saba sasa nahangaika sijapata suluhu...napata kiungulia kama moto unawaka kifuani...jamani msaada ndugu zangu...nimetumia dawa za vidonda vya tumbo lakini za kienyeji na hospitali nimeenda lakini bado...
 
Pole sana ndugu. Hiyo inaweza kuwa acid reflux (kiungulia) lkn pia heart attack huleta dalili km hizo. Jaribu kutumia za kiungulia inaweza kuwa ph ya tumbo imekuwa disturbed.
 
Kweli nilipima wakasema nina hilo tatizo na nahilisi lime advance ni reflux esophagitis..tafadhali anayejua dawa wa kutuliza maana kila asubuhi lazima nitapike
 
Tumia aloe vera gel na fields of green! Zina msaada sana
 
Mwezi wa saba sasa nahangaika sijapata suluhu...napata kiungulia kama moto unawaka kifuani...jamani msaada ndugu zangu...nimetumia dawa za vidonda vya tumbo lakini za kienyeji na hospitali nimeenda lakini bado...

DAWA YA MARADHI YA KIUNGULIA :

TIBA :

Changanya glasi moja (250ml) ya maziwa na kijiko kikubwa 10ml) cha mafuta ya haba soda.
Kunywa mchanganyiko huu na urudie kutwa mara tatu (1×3) kwa muda wa siku 5.

10346534_10154206496260198_4612375884404778799_n.jpg

MAFUTA YA HABBAT SAWDA Black Seed oil.
 
Mkuu na hiki kichefuchefu cha asubuhi ndio balaa ..yaan mara tu baada ya kuamka napata kichefuchefu kikali na kutapika
 
Mkuu haya mafuta yanapatikana wapi maana tatizo la kiungulia tunalo wengi!!!!
Mkuu kijewa hayo Mafuta ya Habbat sawda yanapatikana kwenye maduka ya wanayouza dawa za kisunna kama upo hapo mjini Dar nenda sokoni kariakoo kaulize maduka ya dawa za kisunna utapata hayo mafuta.

Mkuu na hiki kichefuchefu cha asubuhi ndio balaa ..yaan mara tu baada ya kuamka napata kichefuchefu kikali na kutapika
Dawa ya Kichefuchefu chemsha Tangawizi unywe chai yake kabla ya kula kitu asubuhi na jioni au waweza kunyw akutwa mara 3 utapona hicho kichefuchefu umeshamtia mtu mimba nini? Mkuu kbo au wewe ni mtu mke?

Attachments

  • TANGAWIZI.jpg
    TANGAWIZI.jpg
    52.1 KB · Views: 163
Last edited by a moderator:
Mkuu kijewa hayo Mafuta ya Habbat sawda yanapatikana kwenye maduka ya wanayouza dawa za kisunna kama upo hapo mjini Dar nenda sokoni kariakoo kaulize maduka ya dawa za kisunna utapata hayo mafuta.

Dawa ya Kichefuchefu chemsha Tangawizi unywe chai yake kabla ya kula kitu asubuhi na jioni au waweza kunyw akutwa mara 3 utapona hicho kichefuchefu umeshamtia mtu mimba nini? Mkuu kbo au wewe ni mtu mke?

Noo...kwa mujibu wa wataalamu wanasema dalili hii ya vidonda vya tumbo yenye kiungulia huwa inayoambatana na kichefuchefu hasa nyakati za asubuhi mkuu...na ndiyo yanayo nikuta mkuu...na kunamuda napata maumivu chini ya kifua mpaka mgongoni mkuu...mimi mwanaume
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kijewa hayo Mafuta ya Habbat sawda yanapatikana kwenye maduka ya wanayouza dawa za kisunna kama upo hapo mjini Dar nenda sokoni kariakoo kaulize maduka ya dawa za kisunna utapata hayo mafuta.

Dawa ya Kichefuchefu chemsha Tangawizi unywe chai yake kabla ya kula kitu asubuhi na jioni au waweza kunyw akutwa mara 3 utapona hicho kichefuchefu umeshamtia mtu mimba nini? Mkuu kbo au wewe ni mtu mke?

Hivi inawezekana kweli kwamba mwanaume akimtia mwanamke mimba, anaweza na yeye akapatwa na tatizo la Kusumbuliwa na KICHEFUCHEFU???????.
 
Nayo ni sababu Chocs?

Pole sana kbo.......hopefully utapata tiba muafaka......najua kinavosumbua

Waswahili wanasema..nimeliona kama kwa watu watatu hivi(couple)...
Ndo mana nikauliza
 
Last edited by a moderator:
Kama kiungulia ni kuzidi kwa asidi katika mfumo wa chakula basi inabidi upunguze hivyo vyakula vya tindikali (naomba ufafanuzi).

Mimi huwa natibu kiungulia kwa kutumia magadi au mchanganyiko wa maji na jivu (la kawaida).
 
Nimejaribu kupitia articles nyingi wanasema hii inasababishwa na kulegea kwa lower esophagus spincher (hii ni valvu inayo funga kutenganisha vitu mchanganyo uliopo tumboni usirudi kwenye mrija wa chakula yaani esophagus)....sasa hapo ndio kazi ilipo kufanya iyo valvu ifunge...ndio maana vidonda vya tumbo vinavyosababishwa na acid husumbua kupona maana vidonda hivi huwa kwenye ungio kati ya tumbo na esophagus...ndio maana maumivu huwa usawa wa kifua chini na nyuma ya mgongo usawa wa katkati
 
Back
Top Bottom