Nigella Sativa oil au Black seed Oil ;Mafuta ya Habat Soda yanapatikana mjini Dar kwenye Maduka ya wauza Dawa za Kienyeji Karibu na sokoni Kariakoo..............Kaulize utapata huko.Au Uliza kwenya Ma-Super Market Makubwa yaliyopo mjini Dares-Salaam Mkuu@stephot Dawa zangu mimi nikitoa ukitumia vile nitakavyo kuambia utapona kabisa sibahatishi dawa zangu nikikupa ujuwe ni dawa ya uhakika.Haya mafuta ya Habat Soda hapa Dar MziziMkavu tunayapata wapi!na baada ya kutumia huo mchanganyiko nitapona kabisa au ni dawa ya kutuliza?
Mwanza tafuta kwenye maduka ya Dawa za kisuna uliza ukikosa nitafute kwa wakati wako mimi ninaye wakala wangu yupo hapo mjini Dar utampatia pesa yako atakununulia hayo Mafuta ya Habbat sawda .MziziMkavu Umenishauri vizuri, kama uliyvo sema ninatabia ya kupika maharage na kuyatumia siku mbili, hapo ndo kiungulia hunisumbua. nilikua sijui kama maharage yakilala ni sumu, kwa sababu kiungulia hunisumbua masaa kazaa usiku baada ya kutumia chakula na baadaye kinapotea, kuna haja ya kutumia dawa kwa siku tano? na je mwanza naipataje?
yawe maziwa yawe na uvuguvugu yasiwe baridi au moto sanaNimekupata mkuu,vipi hayo maziwa yanatakiwa yawe katika hali gani,moto au baridi?