Kiungulia kinanitesa

Kiungulia kinanitesa

Simara

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
7,512
Reaction score
23,925
Naomba mnisaidie, mimi ni mjamzito wa miezi 7 nina tatizo la kiungulia toka mimba ina miezi mitano, haipiti siku bila kusikia hiyo hali kiukweli nateseka mnoo. Kama kuna mtu anajua dawa tafadhali anisaidie, maana ni zaidi ya mateso.
 
Pole ring, Mm huwa nasumbuliwa sana na kiungulia nikila Maharage.
 
jitahidi kula matango, huwa yanasaidia sana kukata kiungulia. ila ikila tango usile na chumvi
 
Naomba mnisaidie, mimi ni mjamzito wa miezi 7 nina tatizo la kiungulia toka mimba ina miezi mitano, haipiti siku bila kusikia hiyo hali kiukweli nateseka mnoo. Kama kuna mtu anajua dawa tafadhali anisaidie, maana ni zaidi ya mateso.
USICHOKIJUWA KUHUSU MARADHI YA KIUNGULIA

Kiingulia ni acidity iliyozidi kufuatia kula kitu chenye acidity. Maharage yakilala yana ferment hivyo kutengeneza more acidity state hivyo ukiyala vimengenyo vya pelipeptaid, peptaid na pepton vyenye kazi ya kuyeyusha wanga vinatoa acid nyingi ukichanganya na ile ya maharage matokeo yake ni kiungulia.

Dawa ya kiungulia ni kunywa alcalinine yoyote au base ili kuineutralize ile acid na kutengeneza chumvi na maji hivyo kutokuwa na madhara tena.

Dawa ya kawaida sana ni vidonge vya magnesium tricilicate au actal. Majivu yakichanganyika na maji yanatengeneza alcaline solution ambayo pia inaneutralize ile acid. Tatizo la majivu hakuna kipimo sahihi ukizidisha, hata ile acid ya kawaida ya kusaga chakula inakuwa neutralized hivyo chakula kinashuka kilivyo.

Usipotafuta suluhisho la kudumu kuicontrol hiyo acid tumboni kwako, inaweza kumungunya mpaka ngozi laini ta tumboni hivyo kusababisha vidonda vya tumbo vinaitwa ulcers.

DAWA YA KUTIBU KIUNGULIA KWA TIBA MBADALA:

KIUNGULIA::
TIBA;:
Changanya glasi moja (250ml) ya maziwa na kijiko kikubwa 10ml) cha mafuta ya habat soda.
Kunywa mchanganyiko huu na urudie kutwa mara tatu (1×3) kwa muda wa siku 5. tumia kisha uje unipe feedback

Chanzo.

Uko Mkoa gani? Kama ni Dar jaribu kwenda pale Hindu Mandal au hospital yoyote YA Wilaya kama Amana kwa haraka kwani unaweza kua na minyoo au vidonda vya tumbo. Jiepushe sana na dawa mbadala ambazo hazijathibitishwa na Taasis inayoaminika kama vile WHO pia U-Dactar wa kujipachika!
Dawa hizi zaweza kua HATARI kwa afya yako na kwa hali yako YA sasa
 
Asante sana mzizi mkavu
 
Uko Mkoa gani? Kama ni Dar jaribu kwenda pale Hindu Mandal au hospital yoyote YA Wilaya kama Amana kwa haraka kwani unaweza kua na minyoo au vidonda vya tumbo. Jiepushe sana na dawa mbadala ambazo hazijathibitishwa na Taasis inayoaminika kama vile WHO pia U-Dactar wa kujipachika!
Dawa hizi zaweza kua HATARI kwa afya yako na kwa hali yako YA sasa

jitahidi kula matango, huwa yanasaidia sana kukata kiungulia. ila ikila tango usile na chumvi

Asanteni wakuu, nipo dar ntajitaidi nile hayo matango na kwenda hapo tmj
 
Mbona simple tuu? Lamba majivu ya kwenye jiko la mkaa. Kiungulia kinasababishwa na wingi wa acid tumboni, na majivu by nature ni base. So ukiyalamba una neutralize acid kwa kutengeneza chumvi...
 
Uko Mkoa gani? Kama ni Dar jaribu kwenda pale Hindu Mandal au hospital yoyote YA Wilaya kama Amana kwa haraka kwani unaweza kua na minyoo au vidonda vya tumbo. Jiepushe sana na dawa mbadala ambazo hazijathibitishwa na Taasis inayoaminika kama vile WHO pia U-Dactar wa kujipachika!
Dawa hizi zaweza kua HATARI kwa afya yako na kwa hali yako YA sasa
Mkuu gkileo Usiponde Dawa zetu zaTibaMbadala kuwa zina madhara hujaumwa wewe . Utakapo umwa na ukienda Hospitali kujitibia huponi utarudi tena hapa hapa na kutaka msaada wa Dawa zetu za Tiba mbadala unachotakiwa umpe ushauri atumie Dawa gani?au aende hospitali gani kujitibia sio kuponda Dawa za TibaMbadala kuwa hazijathibitishwa na hao uliowataja. Uamuzi wake mwenyewe mgonjwa ataamuwa kutumia dawa zetu za Tiba Mbadala au aende kutumia dawa za Hospitali. Ukimuona mtu mpaka anakuja hapa kutaka ushauri atumie dawa ipi ujuwe amemaliza Kwenda Hospitali kutibiwa na hajapona.
 
Mbona simple tuu? Lamba majivu ya kwenye jiko la mkaa. Kiungulia kinasababishwa na wingi wa acid tumboni, na majivu by nature ni base. So ukiyalamba una neutralize acid kwa kutengeneza chumvi...

Majivu kwa mjamzito sio mazuri kwa mtoto aliepo tumboni
 
Back
Top Bottom