kiuno changu

kiuno changu

shansarie

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Posts
5,690
Reaction score
3,367
naombeni msaada nina maumivu makali ya kiuno siwezi hata kuinama yameanza ghafla tu nimechua nimemeza anti pain ibrofen but haisaidii nashindwa hata kulala nifanyeje dr MziziMkavu nisaidie tafadhali
na wengine pia mnaojua hili tatizo nisaidieni tafadhali
 
Last edited by a moderator:
naombeni msaada nina maumivu makali ya kiuno siwezi hata kuinama yameanza ghafla tu nimechua nimemeza anti pain ibrofen but haisaidii nashindwa hata kulala nifanyeje dr MziziMkavu nisaidie tafadhali
na wengine pia mnaojua hili tatizo nisaidieni tafadhali

jaribu kutumia dawa ya kuchuwa Salimia, may be can help
 
Pole sana best.....pachue na pia fanya mazoezi ya kukizungushazungusha
 
Sio gesi lkn hio? Mana ndo ina kawaida ya kuanza ghafla, na kila movements unofanya unapata maumivu makali.

Tumia dawa za anti acid na chua kwa mafuta ya ujotojoto.

Lkn kuzungusha pia dawa, lala chali na kiuno kilete juu ukizungushe kama ukimkatikia na boss vile. Kulia na kushoto
 
asante, bossi gani tena
 
Dawa mzuri ni kurudua tena na Pambano kawaida maumivu yakiuno nainatokana na kuvikata sana inaoneka kuna kiungo kimoja kimekaa vibaya kwa hiyo rudia tena na pambano ili viungo vikae sawa sawa
 
kufanya diagnosis kwenye mtandao ni ngumu sana ni vyema ukatoa maelezo zaidi au ukaenda hospitali
 
Dawa mzuri ni kurudua tena na Pambano kawaida maumivu yakiuno nainatokana na kuvikata sana inaoneka kuna kiungo kimoja kimekaa vibaya kwa hiyo rudia tena na pambano ili viungo vikae sawa sawa

mmh huko siko kabisa unakoenda
 
Back
Top Bottom