naombeni msaada nina maumivu makali ya kiuno siwezi hata kuinama yameanza ghafla tu nimechua nimemeza anti pain ibrofen but haisaidii nashindwa hata kulala nifanyeje dr MziziMkavu nisaidie tafadhali
na wengine pia mnaojua hili tatizo nisaidieni tafadhali
asante nitajaribu maana dah utadhani nimebeba pacha tatu
Sio gesi lkn hio? Mana ndo ina kawaida ya kuanza ghafla, na kila movements unofanya unapata maumivu makali.
Tumia dawa za anti acid na chua kwa mafuta ya ujotojoto.
Lkn kuzungusha pia dawa, lala chali na kiuno kilete juu ukizungushe kama ukimkatikia na boss vile. Kulia na kushoto
asante, bossi gani tena